1218. Vision given to Raymond Aguilera on 19 November 1998 at 10:30 AM.

During prayer the Lord gave me a vision of three fish; a large fish, a medium size fish and a very small fish. The small fish lived in the anus of the large fish and it kept coming in and out of the opening of the large fish. It went in for hiding and protection. Then I saw the larger fish catch a medium fish with it’s mouth, but the caught fish just swam out of the larger fish’s mouth because the larger fish had no teeth. The Lord placed an impression in my spirit that this event had to do with the language of the Body of Christ. (over)

 

 

1218. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 19 Novemba 1998 saa 4:30 asubuhi.

Wakati wa maombi Bwana alinipa maono ya samaki watatu; samaki mkubwa, samaki wa kati na samaki mdogo sana. Samaki mdogo aliishi kwenye sehemu ya haja kubwa ya samaki yule mkubwa na alikuwa mara atoke na kuingia kwenye sehemu hiyo ya uwazi wa samaki mkubwa. Alikuwa akikimbilia huko kwa ajili kijificha ili kujihami na kujihifadhi. Kisha mimi nikamwona samaki mkubwa akimkamata samaki yule mwenye umbo la kati kwa mdomo wake, lakini samaki huyo mara akaogelea na kutoka kwenye kinywa cha yule samaki mkubwa kwa sababu samaki huyo mkubwa hakuwa na meno. Bwana alinipa hisia ndani ya roho yangu kuwa tukio hili linahusiana na lugha ya Mwili wa Kristo. (Mwisho).

 

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.