1260. Vision given to Raymond Aguilera on 19 March 1999 at 2:30 AM.

The Lord gave me a vision of a English policeman’s dome hat (the kind that look like a metal army hat), but the top of the policeman’s hat was on fire. I could see high flames on this policeman’s hat.

Then the Lord said, "I am, I am, I am."

Vision:

Then the Lord gave me a vision of some high ranking army official. He looked like some army officer from an Eastern block country for he had a large wide and high military looking hat. He also had many gold military metals on his collars and chest. He also had white hair. As he walked I was placed above him in the spirit and watched him as he moved through this open area in a town or city. The day was sunny and beautiful. I saw other soldiers walk by this military officer, I guess he is a very high official and important in the military by the way the other soldiers acknowledged him.

Then the Lord said, "This is the man who belongs to the nose that was cut off." (over)

Vision 8:00 AM.:

The Lord gave me the number 44 then the number 48. (over)

Vision:

The Lord showed me the number 5. (over)

Vision 9:45 AM.:

The Lord showed me the sky. As I watched the sky it became very dark and very frightening. (over)

Vision 9:55 AM.:

Then the Lord gave me a vision of a rat. Then this knife came down and cut it’s head off. (over)

Vision 11:15 AM.:

The Lord gave me a vision of a tortoise shell. I could not see the tortoise’s head, feet or tail. (over)

Non-understandable Tongues:

1260. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 19 Machi 1999 saa 8:30 usiku.

Bwana alinipa maono ya kofia ya polisi wa kiingereza ya aina ya chuma (kama ile kofia ya kijeshi ambayo ni ya chuma), lakini kofia hiyo ya kipolisi ilikuwa inaungua kwa juu. Nilikuwa naona mwenge wa moto mkubwa juu ya kofia hiyo ya polisi.

Kisha Bwana akasema, "Mimi Ndimi, Mimi Ndimi, Mimi Ndimi."

Maono:

Kisha Bwana akanipa maono ya mwanajeshi fulani wa cheo cha juu jeshini. Alikuwa anaonekana kama ni ofisa wa jeshi wa upande wa nchi za mashariki; kwa maana alikuwa na kofia kubwa pana na ndefu kwenda juu ya kijeshi. Naye alikuwa na medali za dhahabu nyingi kwenye ukosi wa shati lake na kifuani. Yeye alikuwa na nywele nyeupe. Alipokuwa akitembea mimi niliwekwa juu katika ulimwengu wa kiroho na kumwangalia akiwa anatembea kwenye uwanja uliokuwa wazi katika mji au jiji fulani. Siku hiyo ilikuwa ni siku yenye jua na nzuri. Mimi niliona askari wengine wakiwa wanatembea kumzunguka ofisa huyo wa kijeshi, nadhani yeye alikuwa ofisa wa cheo cha juu sana na alikuwa ofisa anaye heshimiwa sana jeshini kwa jinsi wale maofisa wengine walivyo kuwa wana mheshimu.

Kisha Bwana akasema, "Huyo ndiye mtu yule mwenye pua ile iliyo katwa." (Mwisho).

Maono saa 2:00 asubuhi:

Bwana alinipa nambari 44 kisha namba 48. (Mwisho).

Maono:

Bwana alinionyeshea tarakimu ya namba 5. (Mwisho).

Maono 3:45 asubuhi:

Bwana alinionyeshea mawingu. Nilivyo zidi kuangalia mawingu hayo yaligeuka na kuwa myeusi sana na ya kutisha. (Mwisho).

Maono saa 3:55 asubuhi:

Kisha Bwana alinipa maono ya panya. Kisha kisu kilikuja na kukikata kichwa chake. (Mwisho).

Maono saa 5:15 asubuhi:

Bwana alinipa maono ya gamba la kobe. Mimi nilikuwa sioni kichwa chake, miguu wala mkia. (over)

Lugha isiyo eleweka:

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.