|
1261. Prophecy given to Raymond Aguilera on 19 March 1999 at 11:20 AM. in Spanish: It is I. It is I. Here comes the day that I promised you to the point. Here comes My Hand. Here comes the things of God to the point. Hear Me! Hear Me! Hear Me! The End is Here with the Force of God. Open your eyes. Open your ears. For here comes the hammer. Did you hear, Me? Here come the hammer with the force of the devil. Arm yourself! Arm yourself! The devil wants to eat the sheep of God with the force of the hammer. Did you hear, Me? Open your eyes! Open your ears! For the hammer has arrived with the force of the devil. In the coming days, I am going to give you Words that are going to point you where to go, to where to hide, to where to cry. You believe that I am playing a game, but this is for certain, for when I say something - IT HAPPENS, with the Word, with the Force, with the Hand of God, all to the point! Right now, Reymundo, is going and praying and placing oil where I tell him. I am getting ready the things of God. For I am going to close the things of the devil. Hear Me! Hear Me! Hear Me! The day of the devil has arrived with the point of the hammer. Did you Hear Me or are you still asleep? Remember the Lips of God. Remember the Force of God. I am telling you clearly and to the point. It has arrived the Force of God. I know that Reymundo does not know what he is doing, but I KNOW and I am going to point him, and I am going to show him what he has to do. For the things that are going to live are going to live! The things that are going to die are going to die! With the Force of God, with the Blood of My Son, with all that is of the Force of the Holy Spirit, it has arrived the Word of God, with the Force of God. Hear Me! Hear Me! This is your God, the One who made the world, all that you see, all that you touch, it has arrived the end. (over) Vision 11:45 AM.: The Lord gave me a vision of a Lion walking, as I watched him walk past me in the spirit, I noticed an elephant was following the Lion. (over) Vision: The Lord showed me the inside of a stadium. Instead of people being in the seats there were many, many hundreds of lit candles in the seats. Vision 3:15 PM.: Then a vision of these beautiful clouds. Unusual looking clouds that opened up in the heavens and Angels ascended down. (over) Vision 3:40 PM.: The Lord gave me vision of a person’s tooth with an X on it. As I watch the tooth it changed into a fang of some sort. (over) Vision 4:07 PM.: The Lord gave me the vision of a row of Smoky the Bear fire prevention mascots from America. They all had shovels about seven of them. All in a row and walking in one direction. (over) Vision 8:24 PM.: A vision of a beetle or a little bug with a black body and red wings like a lady bug and red legs. (over) Vision: A vision of four Jets on top of an aircraft carrier and they look white in color. (over) |
1261. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 19 Machi 1999, saa 5:20 asubuhi katika lugha ya Kihispaniola: Ni Mimi. Ni Mimi. Hiyo inakuja siku ambayo nilikuahidi kwa uhakika. Huo unakuja Mkono Wangu. Huo unakuja Mkono wa Mungu. Hayo yanakuja mambo ya Mungu kwa uhakika. Unisikilize Mimi! Unisikilize Mimi! Unisikilize Mimi! Ule Mwisho Umewadia kwa Nguvu za Mungu. Fungua macho yako. Fungua masikio yako. Kwa maana hiyo inakuja nyundo. Je, umenisikia Mimi? Hiyo inakuja nyundo pamoja na nguvu za shetani. Mjizaiti wenyewe! Shetani anataka kuwala kondoo wa Mungu kwa nguvu za nyundo. Je, umenisikia Mimi? Fungueni Macho yenu! Fungueni masikio yenu! Kwa maana nyundo imewadia pamoja na nguvu za Shetani. Katika siku zijazo Mimi nitakupa wewe Maneno ambayo yatakuelekeza wapi pa kwenda, na wapi pa kwenda kujificha, na wapi pa kwenda kulia. Ninyi si mnaamini kuwa Mimi nafanya mchezo, lakini hili ni la uhakika, kwa maana pale Mimi ninaposema kitu, - HICHO KITU HUTOKEA, kwa Neno, kwa Nguvu, kwa Mkono wa Mungu, yote kwa uhakika! Kwa sasa hivi, Reymundo, anaenda na kuomba na kuweka mafuta (kwenye) maeneo yale Mimi ninayo mwambia yeye aende. Mimi nayatayarisha mambo ya Mungu. Kwa maana Mimi naenda kuyafunga mambo ya Shetani. Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Siku ya Shetani imewadia kwa ncha ya nyundo. Je, mmeniskia Mimi au ninyi bado mmelala? Yakumbukeni Midomo ya Mungu. Kumbukeni Nguvu za Mungu. Mimi ninawaambieni kwa uwazi na kwa uhakika. Imewadia Nguvu za Mungu. Mimi najua kuwa Reymundo wala hajui kile anachokifanya, lakini MIMI NAJUA, Nami naenda kumwelekeza, na nitaenda kumwonyeshea kile ambacho inambidi afanye. Kwa maana yale yatakayoenda kuishi yataenda kuishi! Yale yatakayoenda kufa yataenda kufa! Kwa Nguvu za Mungu, kwa Damu ya Mwanangu kwa yote yale ambayo ni ya Nguvu za Roho Mtakatifu, imewadia Neno la Mungu, pamoja na Nguvu za Mungu. Mnisikilize Mimi! Mnisikilize Mimi! Huyu ni Mungu wenu, yule aliyeumba dunia, pamoja na yote yale unayoyaona, yote yale unayoyagusa, umewadia ule mwisho. (Mwisho). Maono saa 5:45 asubuhi: Bwana alinipa maono ya Simba akiwa anatembea, na nilivyokuwa ninamwangalia wakati alipokuwa ananipita katika ulimwengu wa kiroho, mimi niliona kuwa tembo alikuwa anafuata Simba huo kwa nyuma. (Mwisho). Maono: Bwana alinionyeshea ndani ya uwanja wa kuchezea mpira. Badala ya kuona watu wakiwa wamekaa kwenye viti kulikuwa na mishumaa mingi sana, mamia ya mishumaa iliyowashwa katika viti vile. Maono saa 9:15 mchana: Kisha yakafuta maono ya mawingu fulani yenye sura ya kupendeza sana. Mawingu hayo yenye sura yakipekee yakafunguka kutoka Mbinguni na Malaika wakashuka (kutoka humo kuja) hapa chini. (Mwisho). Maono saa 9:40 mchana: Bwana alinipa maono ya jino la mtu iliyokuwa imechorwa lama X juu yake. Nilivyozidi kuiangalia jino hilo ilibandilika na kuwa kama jino lililokuwa na ncha kali sana (kama ya nyoka wa sumu) wa aina fulani. (Mwisho). Maono 10:07 jioni: Bwana alinipa maono ya midoli au mwanasensera ya aina ya sanamu ya dumu inayo tumika kutoa ilani ya kuzuia mioto wa misituni (ili kuwa okoa wanayama wale wapaorini wa aina ya dubu wa Amerika) wakiwa kwenye mstari. Vinyago hivyo vyote vilikuwa na koleo (beleshi) wakiwa kama saba hivi. Wote wakiwa kwenye mstari wakielekea upande mmoja. (Mwisho). Maono 2:24 usiku: Maono ya mdudu wa aina ile ya wadudu wanao tambaa (beetle) ardhini mwenye mwili mweusi na mabawa myekundu kama wa aina ya duduvule na miguu myekundu. (Mwisho). Maono: Maono ya ndege nne aina ya Jeti zikiwa juu ya meli ya kuchukulia ndege (za vita) na zilikuwa zinaonekana kuwa na rangi nyeupe. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )