|
1262. Vision given to Raymond Aguilera on 20 March 1999 at 3:20 AM. The Lord gave me a vision of a large tractor working on a road next to a railroad overpass. Vision 3:25 AM.: A vision of a man sleeping in a small woman’s bed with his really large feet up on and hanging over the bed rail. (over) Vision 3:30 AM.: The Lord gave me a vision of someone milking a cow. Vision: The Lord gave me a vision of myself walking into this dark, dark attic. The only problem was everything was upside down, I mean, I was upside down or the attic was upside down. From where I was standing everything looked attached to the ceiling. It was a very spooky dark place. I could sense a telescope on this rack as if someone was looking, but like I said everything was upside down to the way I was standing. (over) Vision 4:10 AM.: A vision of a bull’s head hanging on a wall. And a vision of a white horse with it’s hind legs standing on a couch or sofa over a suit case. Vision: A vision of a White Dove walking on water and a shark comes from under the water and tries to eat the Dove. But the shark is unable to touch the Dove and the Dove walks out of the water. (over) Vision: A vision of the hydraulic stand that holds up a backhoe tractor that digs trenches. I saw the stand go down and lift up the rear wheels. |
1262. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 20 Machi 1999, saa 9:20 usiku. Bwana alinipa maono ya trakta kubwa (ya kutengeneza barabara) ikiwa inafanya kazi kwenye barabara karibu na kivuko cha reli. Maono saa 9:25 asubuhi: Maono ya mtu aliyekuwa amelala kwenye kitanda kidogo cha mwanamke na miguu yake ambayo ni mikubwa sana ikiwa imevuka na kuning’inia juu ya kitanda hicho. (Mwisho). Maono saa 9:30 usiku: Bwana alinipa maono ya mtu aliyekuwa akimkamua ng’ombe. Maono: Bwana alinipa maono ya mimi nikiwa ninatembea kuelekea kwenye paa la gorofa iliyokuwa na giza nene. Tatizo lilikuwa ni kubwa kila kitu pale kilikuwa kipo kichwa chini, namaanisha kuwa mimi nilikuwa kichwa chini au labda paa hilo lilikuwa kichwa chini. Kutoka pale nilipokuwa nimesimama kila kitu kilikuwa kinaonekana kama kime wekwa kwenye dari. Ilikuwa ni sehemu iliyokuwa na giza nene sana. Nilikuwa na weza kuhisi uwepo wa darubini ya kuangalia mbali humo; kana kwamba kulikuwa na mtu aliyekuwa akiitumia, lakini kama nilivyo kwisha sema kila kitu kilikuwa kichwa chini kutoka pale nilipokuwa na iangalia. (Mwisho). Maono saa 10:10 Alfajiri: Maono ya kichwa cha dume la ng’ombe kikiwa kinaning’inia juu ya ukuta. Na maono ya Farasi mweupe na miguu yake ya nyuma yakiwa yamesimama juu ya kiti cha kochi ambacho kilikuwa kipo juu ya sanduku. Maono: Maono ya Hua Mweupe akiwa anatembea kwenye maji na mara samaki wa aina ya papa akajajitokeza kutoka chini ya maji hayo na kujaribu kumla Hua huyo. Lakini papa huyo akashindwa kumgusa na Hua huyo mara akatoka humo majini. (Mwisho). Maono: Maono ya miguu ya haidroloki inayoshikilia trakta ya kuchimbia barabara ya aina ya “Backhoe” (inapochimba) inayotumika kuchimbia mifereji. Mimi niliona miguu hiyo ikishuka na kunyanyuka kwenye sehemu ya Mwisho ya trekata hiyo. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )