|
1263. Occurrence given to Raymond Aguilera on 20 March 1999 at 12:00 noon. I prayed to the Lord and asked if we should go to Norway. The Lord said, "No", you do not have to go there". Then I said, "But Lord, there are many beautiful blondes there." And the Lord said, "That’s OK. I already have a nice one for you." |
1263. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 20 Machi 1999, saa 6:00 mchana. Mimi nilimwomba Bwana na kumwuliza kama tunaweza kwenda Norway. Bwana akasema, "Hapana, wewe huna haja ya kwenda huko". Kisha mimi nikasema, "Lakini Bwana, kule kuna warembo wengi wenye nywele za rangi ya kimanjano." Bwana akasema, "Hiyo ni sawa. Mimi tayari nimekwisha kukutayarishia mrembo mmoja kwa ajili yako."
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )