|
1264. Vision given to Raymond Aguilera on 20 March 1999 at 2:15 PM. A day or two earlier the Lord had told me to go to Mariehamn and to pray there. So when we got to Mariehamn, Finland, the Lord gave me a vision of a telephone with the hand held receiver sitting the wrong way on the body of the telephone. (This was a French looking telephone.) Then the Lord said, " Mariehamn is going to have to wait for the telephone to ring". |
1264. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 20 Machi 1999 saa 8:15 mchana. Kitu kama siku mbili hivi kabla; Bwana aliniambia kuwa tuende Mariehamn na kuomba pale. Kwahiyo sisi tulienda Mariehamn, Finland, huko Bwana alinipa maono ya simu ya kawaida na sehemu ile ya kuongea na kusikilizia ikiwa imewekwa vibaya juu ya mtambo huo wa simu. (Hii ilikuwa ni simu inayofanana na aina ile ya Kifaransa.) Kisha Bwana akasema, "Mariehamn italazimika kungojea simu ilie".
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )