|
1266. Occurrence given to Raymond Aguilera on 20 March 1999 at 3:24 PM. On the way to Stockholm, Sweden on the ship I sensed the same Angel of Death I sensed in Helsinki, Finland. I sense that the Angel of Death is going to travel along the same path as the ship I am on. This is a very strange feeling in the spirit. Almost as if one could taste death on this route. I actually sense I am laying out the map or path for this Angel of Death to travel on. It reminds me of Israel’s Passover during the time of Moses, where the Angel passed over the Israelites that had placed blood around their doors and all of the first born of the Egyptians died. (over) |
1266. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 20 Machi 1999, saa 9:24 mchana. Tukiwa njiani kwenda Stockholm, Sweden kwa usafiri wa meli, mimi nilianza kumhisi Malaika yule yule wa kifo ambaye nilimhisi kule Helsinki, Finland. Mimi nilihisi kuwa Malaika yule yule wa Kifo ataenda kufuata njia tuliyo kuwa tunapita kwa meli hiyo ambayo nimeipanda. Hili lilikuwa ni hisia mbaya sana katika ulimwengu wa kiroho. Ni kama mtu unaonja kifo katika njia hiyo. Mimi ni kama nilihisi kuwa nilikuwa na weka njia au barabara ambayo Malaika wa Kifo ataenda kuifuata. Ilikuwa inanikumbusha kuhusu Paska ile ya Kwanza ya Waisraeli wakati wa Musa, pale Malaika wa Kifo alipopita nyumba za Waisraeli ambazo zimepakwa damu kwenye fremu za milango ya nyumba zao na wazaliwa wote wa kwanza wa Wamisri walipokufa. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )