1347. Occurrence (Israel mission trip): June 28, 1999 at 1:30 AM.

Carl and I were seeking for low cost hotels in Jerusalem with air conditioning because of the extreme heat during the summer months in Israel. The only ones we had been able to find were in the Muslim section with no air conditioning. So Carl suggested we pray about it and seek the Lord about the hotels in East Jerusalem.

Then the Lord said, "Why do My Sheep have to stay with goats?"

Then later, we prayed again about two other hotels one Christian and one Jewish.

Vision:

Then the Lord gave me a vision of an Eagle’s nest with some eggs inside.

Then the Lord said, "I want My Eggs in My Nest!" (over)

1347. Matukio (safari ya Israel): tarehe 28 Juni, 1999 saa 7:30 usiku.

Carl na mimi tulikuwa tukitafuta hoteli yenye gharama nafuu kule Yerusalemu, iliyo na kiyoyozi ya kudhibiti hali ya hewa iliyokuwa na joto kali ya wakati huo wa miezi ya majira ya kiangazi; kule nchini Israel. Hoteli tuliyoweza kuibahatisha ambayo ina viyoyozi ilikuwa ni ya eneo la Waislamu.  Kwa hiyo Carl akashauri tuombe kuhusiani na hoteli hizo zilizokuwa upande wa Yerusalemu ya Mashariki (eneo la Waislamu).

Kisha Bwana akasema, "Ni kwa nini Kondoo Wangu wakakae pamoja na Mbuzi?"

Kisha baadaye, sisi tuliomba tena kuhusu hoteli nyingine mbili mmoja ikiwa kwenye eneo la Wakristo na lingine kwenye eneo la Wayahudi.

Maono:

Kisha Bwana akanipa maono ya kiota cha Tai iliyo kuwa na mayai kadhaa ndani yake.

Kisha Bwana akasema kuwa, "Mimi nataka Mayai Yangu kwenye Kiota Changu!" (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.