|
1361. Prophecy given to Raymond Aguilera on 21 July 1999 During prayer we asked the Lord where we should go and find the next spots to Anoint and the Lord said, "Seek and ye shall find!" Then the Lord said, "You are only Sojourners through this land." Vision: I had a vision from the sky. I could see this narrow beach and behind the beach there was this high wall. I could see the wall extend all along the beach with the waves of water hitting the shore. Prophecy: Then the Lord said, "Peace will be with you. What goes up will come down!" |
1361. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 21 Julai 1999 Wakati wa maombi sisi tulimwuliza Bwana kuhusu ni wapi tutakapoenda kupapata eneo lingine la kuwekwa Wakfu, naye Bwana akasema, "Tafutaeni nanyi mtapata!" Kisha Bwana akasema, "Ninyi ni wasafiri ninyi ni wa muda tu ndani ya nchi hii." Maono: Mimi niliona maono ambako mimi nilikuwa naonekana naangalia kutoka angani juu. Mimi nilikuwa naweza kuona ufukwe mwembamba na nyuma ya ufukwe huo kulikuwa na ukuta fulani mrefu. Mimi nilikuwa naweza kuona ukuta huo ukiwa unauzunguka ufukwe huo na mawimbi ya maji yakiwa yanagonga ufukwe huo. Unabii: Kisha Bwana akasema, "Amani itakuwa pamoja nanyi. Kile kilicho enda juu kitakuja chini!"
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )