|
1363. Vision given to Raymond Aguilera on 22 July 1999 at 1:55 AM. During prayer the Lord gave me a vision of a little red haired girl that I saw at the Western Wall. She was about three or four years old. She was playing with a little boy - actually they were playing in an area which was restricted for only men. Well, at first I saw the little red haired girl as she looked today. Then as I watched this little girl, she grew-up before my eyes in the spirit. She became this beautiful young woman, perhaps between the age of 18 and 24 years. Prophecy: Then the Lord said, "Nothing is going to happen until this little girl grows-up!" Note: I do not understand what is supposed to happen when this little girl grows up. That's all. (over) Prophecy: Then without warning the Lord said, "I am going to kill someone!" |
1363. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 22 Julai 1999, saa 7:55 usiku. Wakati wa maombi Bwana alinipa maono ya msichana yule mdogo, mwenye nywele nyekundu niliye mwona pale kwenye ukuta wa Mangharibi (kule Yerusalemu). Yeye alikuwa na umri wa miaka mitatu au minne hivi. Alikuwa akicheza na mtoto mdogo wa kiume – walikuwa wanacheza kwenye sehemu ambayo kwa kawaida imezuiliwa kwa ajili ya wanaume tu. Naam, kwanza nilimwona huyo msichana mdogo wa kike akiwa kama anavyo onekana leo. Kisha wakati nikiwa ninamwangalia msichana huyo mdogo; alikuwa mbele ya macho yangu katika ulimwengu wa kiroho. Yeye akakua na kuwa mwanamke mzuri, labda wa kati ya miaka 18 hadi 24 hivi. Unabii: Kisha Bwana akasema, "Hakuna lolote litakalo enda kutokea hadi hapo huyo binti mdogo atakapokuwa amekua!" Ilani: Mimi sielewi kile kitakacho enda kutokea pale huyo binti mdogo atakapokuwa amekua. (Mwisho). Unabii: Kisha bila ya maonyo Bwana akasema, "Mimi nitaenda kumwua mtu fulani!"
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )