|
1364.
Prophecy given to Raymond Aguilera on 22 July 1999 at 9:40 AM. During prayer the Lord said, "Praise and worship is good but obedience is better!" Vision: Then the Lord gave me a vision of a large knife cutting something. It reminded me of the knife that Crocodile Dundee used in one of his movies. Prophecy: Then the Lord said, "I am going to cut the wineskin open!" Vision: Then I was given a vision of something that was in the shape of a stomach or a kidney bean. (I believe it was a vision of the wineskin.) Prophecy: Then the Lord said, "Go!" Vision: Then I was given a vision of a 3-strand rope.
|
1364.
Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 22 Julai 1999, saa 3:40 asubuhi. Wakati wa maombi Bwana akasema, "Kusifu na kuabudu ni mambo mazuri lakini utii ni bora zaidi!" Maono: Bwana alinipa maono ya kisu kikubwa kikiwa kinakata kitu fulani. Ilinikumbusha kile kisu ambacho “Crocodile Dundee” alikuwa anakitumia kwenye mmoja ya senema zake. Unabii: Bwana akasema, "Mimi nitaenda kuupasua mfuko wa kuwekea vinyo uwe wazi!" Maono: Kisha mimi nikapewa maono ya kitu kilicho kuwa na sura ya mfuko wa tumbo au figo. (Mimi naamini ilikuwa ni ile mfuko ya kale ya kuhifadhia mvinyo) Unabii: Kisha Bwana akasema, "Nenda!" Maono: Kisha mimi nikapewa maono ya kamba iliyofumwa kwa kamba au nyuzi 3. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )