|
1365. Vision given to Raymond Aguilera on 22 July 1999 at noon. During prayer the Lord gave me a vision of a land bridge, which separated two cliffs with a deep canyon in-between them. I could see people walking on the land bridge trying to cross to the other side, but the center of the bridge was broken off. As I watched these people, they just jumped over the broken area to the other side the best they could. It was very dangerous, but whatever was on the other side it was more important than falling off the bridge and dying. (over) |
1365. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 22 Julai 1999 mchana. Wakati wa maombi Bwana alinipa maono daraja, ambayo imetenganisha korongo au ufa wenye kina kirefu sana kati yao. Mimi nilikuwa naweza kuona watu wakiwa wanatembea kwenye daraja hilo wakiwa wanajaribu kwenda upande wa pili, lakini daraja hilo lilikuwa limevunjika katikati. Nilivyokuwa ninaangalia nilikuwa naweza kuona watu wakiwa wanajaribu kuvuka kutoka upande huu wa daraja na kwenda upande wa pili kwa kuruka hiyo sehemu iliyokuwa imevunjika kwa bidii sana japo ilikuwa ni hatari. Hiyo sehemu ilikuwa ni sehemu yenye hatari kubwa sana, lakini inaonekana kuwa hilo lililoko upande wa pili lilikuwa ni la maana sana zaidi ya hatari hiyo inayo wakabili ya kuanguka kwenye ufa huo na kufa. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )