1402. Occurrence given to Raymond Aguilera on 8 August 1999.

Carl asked me if I wanted to go to the church service at The King of Kings Assembly. So I prayed to the Lord and the Lord said, "The sauce will be there!"

When we arrived at the church, we were late, and the worship had already started. I felt strange in church for everyone was singing songs in Hebrew. The more I listened to the music and the sermon, the more I sensed the church wanted to become Jewish. I prayed and I prayed and I could not sense the Presence of the Lord there. Then towards the end of the service the Lord spoke to me.

Prophecy:

(Ray) "Look at this whole church and all the people standing here. This church and all other churches will hate you with a vengeance. But don't worry, I'm going to be with you!"

1402. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 8 Agusti 1999.

Carl aliniuliza kama mimi nilikuwa nahitaji kwenda kwenye ibaada pale kwenye Kanisani la “The King of Kings Assembly”. Kwa hiyo mimi nikamwomba Bwana, naye Bwana aliniambia, “‘Sauce’ atakuwa hapo!”

Tulipofika hapo kanisani, sisi tulikuwa tumechelewa, na ibaada ilikuwa imekwisha kuanza. Mimi nilijisikia wa ajabu hapo kanisani kwa maana kila mtu alikuwa akiimba nyimbo katika lugha ya Kiebrania. Jinsi nilivyozidi kusikiliza muziki wa pale; pamoja na mahubiri, ndivyo nilivyokuwa na zidi kuhisi kuwa kanisa lile lilikuwa linatamani kuwa la Kiyahudi. Mimi niliomba na kuomba nami nilikuwa nashindwa kupata hisia ya Uwepo wa Bwana hapo. Kisha tulipo karibia hapo mwishoni mwa ibaada hiyo, Bwana alisema nami.

Unabii:

(Ray) "Angalia kanisa hili lote pamoja na watu wote; waliosimama hapo. Kanisa hili lote pamoja na makanisa mengine; watakuchukia wewe kwa hasira na kutaka kulipa kisasi. Lakini wewe usijali, Mimi nitaenda kuwa pamoja nawe!"

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.