|
1404. Vision given to Raymond Aguilera on 9 August 1999 at 9:20 AM. During prayer, the Lord gave me the number, "33". Vision: Then the Lord gave a vision of a man. He was chained and banded with some sort of metal band around his shoulders. The metal band looked like this large two-man hand saw that was used to cut down large trees. Then the Lord said that the vision represented man in bondage. Vision: Then I had a vision of the Eiffel Tower. I could only see it from a distance and I could see something going around the midway of it. It looked like particles of metal or some kind of thorn looking things. Then the Eiffel Tower was raised off the ground about 30 feet up. I could also see that the background was glittery with all kinds of colors. Vision: Then I saw a vision of some headphones. (over) |
1404. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 9 Agusti 1999, saa 3:20 asubuhi. Wakati wa maombi Bwana alinipa tarakimu ya namba "33". Maono: Kisha Bwana alinipa maono ya mtu. Mtu huyo alikuwa amefungwa kwa minyororo na kufungiwa kitu kama mikanda ya chuma ya aina fulani kwenye mabega yake. Vyuma hivyo alivyofungiwa kwenye mabega yake yalikuwa yanaonekana kama mikanda ya mashine ile ya kupasulia mbao, ambayo huwa inaendeshwa na watu wawili kwa ajili ya kukatia miti mikubwa sana. Kisha Bwana akasema maono hayo ni kielelezo cha binadamu alivyo fungwa. Maono: Kisha mimi niliona maono ya Mnara wa Eiffel wa Paris. Mimi nilikuwa nauona kutoka sehemu mbali na hapo, nami nilikuwa naweza kuona kama kulikuwa na kitu kilicho kuwa kinaenda kuzunguka sehemu iliyokuwa karibu na katikati yake. Ilikuwa inaonekana kama vipande vya chuma au kitu kilichokuwa kinaonekana kama kina miiba. Kisha Mnara wa Eiffel ulinyanyuliwa kutoka ardhini kwa urefu wa futi 30 kwenda juu. Mimi nilikuwa naweza kuona nyuma ya mnara huo ukiwa unameremeta na kila aina ya rangi. Maono: Kisha mimi nikaona maono ya kitu kama mitambo ya kusikilizia kwenye masikio. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )