|
1407. Vision given to Raymond Aguilera on 10 August 1999 at 11:05 PM. The Lord gave me a vision of the ground opening up. It opened up for about 1 to 2 miles. It was a deep fault as it separated and at the bottom of this fault, I saw a skeleton of a man. (over) |
1407. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 10 Agusti 1999 saa 5:05 usiku. Bwana alinipa maono ya ardhi ikiwa inapasuka na kuachana kwa umbali wa maili 1 hadi maili 2 hivi. Ilikuwa ni ufa ulioenda chini sana wakati sehemu hizo mbili zilipokuwa zinaachana na kwenye tako la bonde hilo kulikuwa na mabaki ya mifupa ya mtu. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )