|
1409. Occurrence given to Raymond Aguilera on 28 August 1999 at 3:40 AM. I was awaken early in the morning by this sound; that sounded like the Wind, but it was not the wind. I had my skylight open and I could hear it whistling as the Wind made contact with the skylight, with an unworldly sound. As I looked up to the skylight - somehow, I went into the spirit, for I could see this Wind. This Wind had surrounded my house. I also noticed that none of ten or so 200 foot tall trees in my backyard were making any noise. Then, when the sound stopped, I could actually see this Wind go to the east from my house in the spirit. This was very, very, very, strange!!! (over) |
1409. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 28 Agusti 1999, saa 9:40 alfajiri. Mimi niliamshwa alfajiri ya na mapema kwa sauti fulani; ambayo ilikuwa kama mvumo wa Upepo, lakini haukuwa ni upepo. Mimi nilikuwa nimefungua madirisha yangu ya kuingiza hewa, nami nilikuwa nayasukia yakiwa yanafanya mvumo kutokana na upepo huo ulipokuwa unaya gonga gonga, Lakini kwa sauti ambayo haikuwa ni ya dunia hii. Nilivyo angalia angani juu; kupitia kwenye madirisha hayo - mara nikajistukia nikiwa katika ulimwengu wa kiroho kwa maana nilikuwa najisikia kama naona Upepo huo. Upepo huo ulikuwa umeuzunguka nyumba yangu. Mimi pia niliona kuwa miti iliyokuwa kwenye bustani yangu ipatayo kiasi cha kumi hivi na yenye urefu upatao futi 200 kila mmoja, ikuwa haitoi sauti yeyote. Kisha pale sauti ya mvumo uliposimama, mimi nilikuwa naweza kuona upepo huo ukienda mashariki kutoka kwenye nyumba yangu; katika ulimwengu wa kiroho. Hili lilikuwa jambo la ajabu sana sana, sana!!! (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )