|
1411. Occurrence given to Raymond Aguilera on 11 Sept. 1999 at 3:05 A.M. Early this morning, the Lord healed my painful shoulder. The Lord awoke me and told me to stretch my right arm out as far I could. Then He told me to roll my whole body to the left, while stretching my right arm to the right, then to roll back. Then without warning, my upper spine began to pop like popcorn, then within seconds all the pain in my right shoulder was gone. Though, I still have the pain in my wrists - the pain I had in my shoulder for weeks is gone. All I can say is praise the Lord!!! Maybe with this new speech recognition program and with my arm healed I can work again on the prophecy book. (Over) |
1411. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 11 Sept. 1999 saa 9:05 alfajiri. Alfajiri ya leo, Bwana aliliponya bega langu lililokuwa linauma sana. Bwana aliniamsha na kuniambia ni nyanyue na kuuvuta mkono wangu wa kulia kwenda juu iwezekanavyo. Kisha aliniambia kuwa ni jiviringishe mwili wangu kuelekea kushoto, wakati nikiwa nimenyoosha mkono wangu upande wa kulia na kisha nirudishe mwili wangu. Kisha bila ya onyo lolote sehemu ya juu ya uti wa mgongo wangu, ukaanza kulipuka kwa sauti kama ya mahindi ya bisi, kisha baada ya sekunde tu ya hayo maumivu yangu ya kwenye bega langu la mkono wa kushoto likaondoka. Ingawa bado ninamaumivu kwenye kiganja changu – maumivu niliyokuwa nayo kwenye bega kwa wiki kadha yalitowera. Yote ninayoweza kusema ni kuwa Bwana asifiwe!!! Labda baada ya kupata vifaa vya kutambua sauti na pia kwa kuwa mkono wangu huo uliokuwa una uma umeponywa sasa nadhani nitaweza kuendelea kufanya kazi kwenye kitabu cha unabii. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )