1446. Occurrence given to Raymond Aguilera on 29 January 2000.

Hello Brothers and Sister,

I have a prayer request. Friday, my car died again after 235,000 miles. I have a line of credit with my mortgage lender, but I used most of that money to pay for my father's funeral last month. This is my prayer request - I have asked them to lend me $3,000 to replace the engine in my car. My problem is this: Very little money has come in for the South America Mission Trip and I am beginning to feel guilty to use this borrowed money for my car. If I use this money for my car I will not be able to borrow anymore if I am lacking funds for the South America Mission trip. The money lender said they would let me know about the loan on Monday, January 31.

Vision: I have prayed for an answer and all the Lord gave me was a vision of a White Nest. A Nest with white straw surrounded by a White Light with baby rabbits, chickens, and other baby animals in the nest.

Well, I guess that is all - God bless you all.

Yours in Christ, ray

1446. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 29 Januari 2000.

Wapendwa Kaka zangu na Dada Zangu,

Mimi na hitaji mniombee. Siku ya Ijumaa gari langu liliharibika tena; baada ya kufikisha maili 235,000. Mimi nina furasa ya kukopa kutoka kwa wakopeshaji wangu, lakini nilitumia sehemu yake kubwa kwa ajili ya mazishi ya baba yangu mwezi uliopita. Haya ni maombi yangu – mimi nimewaomba wakopeshaji wangu wanikopeshe Dola 3,000; ili kubadilisha injini ya gari langu hilo zee. Tatizo langu ni kuwa: Fedha kidogo sana zimekuja kwa ajili ya safari ya kwenda Amerika ya Kusini; nami naanza kujisikia vibaya kutumia fedha hizi kwa ajili ya gari langu. Kama nitaitumia fedha hizo kwa ajili ya gari langu hilo mimi sitaweza kukopeshwa tena; kama nitataka kukopa kwa ajili ya safari hiyo ya Ameriaka ya Kusini. Wakopeshaji wangu walisema kuwa wataweza kunijibu kuhusu mkopo huo siku ya Jumatatu, Januari 31.

Maono: Mimi nimeomba ili nipate jibu ka Bwana na yote yale Bwana aliyonipa ilikuwa ni Maono ya kiota cheupe. Kiota hicho kilikuwa ni cha majani makavu nyeupe; ikiwa imezungukwa na mwanga mweupe na ndani yake kukiwa na watoto wa sungura, kuku, na watoto wa wanyama wa aina kadhaa.

Naam, nadhani hayo ni yote – Mungu awabarikini nyote.

Wenu katika Kristo, ray

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.