|
1447. Vision given to Raymond Aguilera on 2 February 2000. During prayer the Lord showed me a vision of a pyramid with a cloud on top of it. As I was in the spirit looking directly down at the pyramid vertex from the air, the top of the pyramid exploded like a volcano. Vision: Then I saw a vision of a mountain. The top third was sliced with some kind of white sharp sheet that went right through the mountain horizontally. It cut the mountain like a knife. But the mountain stayed together. You could actually see the place where the mountain was sliced. |
1447. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 2 Februari 2000. Wakati wa maombi Bwana alinionyeshea maono ya piramidi ikiwa na mawingu juu yake. Wakati nilipokuwa kwenye ulimwengu wa kiroho na huku nikiwa na angalia kutoka juu angani; nikitazama kwenye ncha yake, ililipuka kama mlipuko wa kivolkano. Maono: Kisha nikaona maono ya mlima. Sehemu ya theluthi yake ilikatwa kwa kitu fulani kama shiti nyeupe chenye ncha kikali kwa usawa. Iliukata mlima huo kama kisu kikali. Lakini, mlima ulibakia hivyo hivyo bila kuanguka kama ulivyo kuwa hapo mwanzo. Unaweza kuona mahali ambako mlima huo ulipo katwa.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )