1460. Vision given to Raymond Aguilera on 17 February 2000.

During prayer I saw a peeled banana lying on its side.

Vision:

Then a vision of a top hat. On one side of the top hat there was the number 3.

Then I saw a white ball rolling down the cliffs of Dover, in England. The ball was or looked like a rock.

1460. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 17 Februari 2000.

Wakati wa maombi mimi niliona ndizi iliyo chunwa magamba yake; ikiwa imelala ubavu ubavu.

Maono:

Kisha nikaona maono ya juu ya kofia. Juu ya sehemu mmojawapo ya kofia hiyo; kulikuwa na tarakimu ya namba 3.

Kisha nikaona mpira mweupe ukiwa unavingirika kutoka kwenye kilima cha Dover, ya kule Uingereza. Mpira huo ulikuwa au unaonekakna kama ni kipande cha mwamba.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.