1461. Vision given to Raymond Aguilera on 17 February 2000 at 8:20 PM.

During prayer I saw a flat pointed shovel, with the point down. The shovel was being used like a broom and it was sweeping coal. I could see that the shovel was made of silver with a wooden handle.

Vision:

I saw a coffeepot. The coffeepot was sitting on top of a can of dog food. Then somehow the coffeepot pressed the dog food can flat. I could see that the coffeepot had hot water inside.

Vision:

I saw two green plastic water hoses. Then, when I saw the ends of the water hoses I could see two showerheads screwed on the ends. Then the image changed and I saw the two water hoses filling two paper bags that were tied to the hose ends.

Vision:

Then I saw a white rose.

Vision:

Then I saw a gas shut off valve for natural gas, the kind that is outside houses.

Vision:

Now, I see a similar coffeepot, like the one I saw earlier. I can see it dropping one, two, now three drops. Now I see another coffeepot, it might be the same coffeepot, but I see water rushing out from it like a river.

Vision:

I see a small plant with a funnel above it. Now, I see water being poured into the funnel and it being used to watering the plant.

Vision:

I see a vision of two ice cream cones with their two points together, and touching each other. They were full of vanilla ice cream.

Vision:

I had a vision of a skeleton of a snake that was moving like a live snake.

Vision:

I saw a vision of a porcupine, then there were two of them. They seemed to be eating from a cornstalk.

Vision:

I had an image of a straight fence, which had supporting posts at a 60 degrees angle, so that the fence wouldn't fall down.

1461. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 17 Februari 2000 saa 2:20 usiku.

Wakati wa maombi mimi niliona beleshi au koleo iliyokuwa bapa na kuchongoka kwa mbele ikiwa inaelekea chini. Koleo hiyo ilikuwa inatumika kama ufagio na ilikuwa ikifagia makaa ya mawe. Nilikuwa naweza kuona na kutambua kuwa koleo hiyo ilikuwa imeundwa kwa fedha na ikiwa na mpini wa mbao.

Maono:

Niliona maono ya birika la kahawa. Birika hilo la kupikia kahawa ilikuwa imeketishwa juu ya kopo la kuhifadhia chakula cha mbwa. Kisha kwa namna fulani birika hilo likaigandamiza kopo hilo la kuwekea chakula cha mbwa na kuwa chapati. Nilikuwa naweza kuona kuwa birika hilo wala halikuwa na maji moto ndani yake.

Maono:

Naona mabomba mawili ya plastiki yenye rangi ya kijani kibichi. Kisha pale kwenye miisho ya mabomba hayo, nikaona imefungiwa chombo cha kutoa maji ya manyunyu kama ile ya kuogea ikiwa imefungiwa kwenye miisho yao. Kisha maono hayo yakabadilika nami nikaona maono ya mabomba hayo mawili yakiwa yanajaza mifuko miwili ya karatasi ambayo yamefungwa kwenye miisho ya mabomba hayo mawili.

Maono:

Kisha nikaona ua la waridi nyeupe.

Maono:

Kisha nikaona koki au valvu ya kufungia na kufungua gesi ya kupikia ambayo huwa inawekwa nje ya majumba kwa ajili ya kufunga na kufungua gesi ya kupikia.

Maono:

Sasa naona birika nyingine ya kupikia kahawa kama ile niliyoiona hapo kabla. Naona ikitoa tone mmoja, mbili na sasa tatu ya maji. Sasa naona birika nyingine ya kupikia kahawa, inaweza kuwa ni birika ile ile ya kwanza, lakini sasa na ona maji yakimininika kutoka ndani ya birika hilo kama mto.

Maono:

Naona mmea mdogo na kitu au chombo cha kumiminia maji (faneli) ikiwa imewekwa juu yake. Sasa naona maji yakiwa yanamiminwa kwenye faneli hiyo na inatumika kumwagilia mmea huo.

Maono:

Naona maono ya maganda ya kuwekea aisikrimu mbili ikiwa na ncha zao mbili zilizo kutanishwa pamoja. Maganda hayo yalikuwa yamejaa aisikrimu ya vanilla.

Maono:

Naona maono ya nyoka ambaye amebakia mifupa mitupu lakini akiwa anajongea kama nyoka aliye hai.

Maono:

Niliona maono ya nungu nungu, mara wakawa wawili. Walikuwa wanaonekana kama wanakula kutoka kwenye mmea wa mahindi.

Maono:

Niliona maono ya uzia au fensi iliyokuwa imenyooka ambao ulikuwa na miti ya kuzuia isianguke ambayo ilikuwa imewekwa kwenye nyuzi 60 ili kuhakikisha kuwa uzia huo usiweze kuanguka chini.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.