1463. Occurrence given to Raymond Aguilera on 18 February 2000 at 12:55 AM.

I am sensing a strong earthquake. I can hear the strong shock wave in the spirit, and I can feel the ground moving. I do not know where it is happening, but it is very strong. (over)

1463. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 18 Februari 2000 saa 6:55 usiku.

Napatwa na hisia ya tetemeko kubwa sana la ardhi. Naweza kuona mawimbi ya tetemeko hilo katika ulimwengu wa kiroho, na ninahisi ardhi ikiwa inatemeka kwa nguvu. Sielewi hayo yanatokea au yatatokea wapi, lakini tetemeko hilo lina nguvu kubwa sana. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.