|
1464. Prophecy given to Raymond Aguilera on 19 February 2000 at 8 PM. The Lord said, "Bogotá." It is a name of a place somewhere. Vision: I saw a vision of a zeppelin (or airship blimp), but the center (in the middle of the blimp) where the people stay was missing. This blimp vision only had the two tail ends put together with no center. (over) |
1464.
Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 19 Februari 2000 saa 2 usiku. Bwana akasema, "Bogotá." Ni jina la sehemu hiyo mahali fulani. Maono: Niliona maono ya sehemu ile ya kimulimuli ya ndege, lakini sehemu yake ile ya katikati ya ndege, ambako ndiko watu huwa wanakaa haikuwapo. Maono hayo ya zile taa za kimulimuli za kwenye ndege (kwenye miisho ya mabawa yake ya mbele na nyuma) zilikuwa zimewekwa pamoja bila ya sehemu ya kati. (Mwisho). |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )