|
1465.
Vision given to Raymond Aguilera on 20 February 2000 at 7 PM. Vision: I had a vision of a pair of shoes. Then as I watched, I saw a pair of scissors cut off the part of the shoes where the toes are suppose to be. Vision: Then the Lord showed me a vision of a telephone. Vision: Then there was a vision of a necklace with a hidden microphone in it. The necklace was white with some stones in it. |
1465. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 20 Februari 2000 saa 1 usiku. Maono: Niliona maono ya jozi ya viatu. Kisha wakati nilipokuwa naangalia, niliona mkasi ukiwa unakata sehemu ile ya viatu ambayo kwa kawaida ndiko inakokaa vidole. Maono: Kisha Bwana alinionyeshea maono ya simu. Maono: Kulikuwa na maono ya mkufu wa shingoni na ndani ya mkufu huo ilikuwa imefichwa kinasa sauti. Mkufu huo ulikuwa ni mweupe na umepambwa kwa mawe kadhaa ya dhamani. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )