1469. Occurrence given to Raymond Aguilera on 24 February 2000 at 12:40 PM.

During prayer the Lord placed in my spirit a strong sense that an earthquake was going to happen.

Vision:

Then the Lord gave me a vision of a large wineglass, which was as tall as a 20 floor (story) office building.

Prophecy:

Then the Lord said, "The wineglass will fall in Bangkok, Thailand."

Vision:

Then the Lord showed me a large knife, which was also as large as a 20-story office building, slicing the ground. I could see the ground parting or separating as if it was human skin. (over)

1469. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 24 Februari 2000 saa 6:40 mchana.

Wakati wa maombi Bwana aliweka moyoni mwangu hisia kali ya kuwa tetemeko mmoja kubwa la ardhi lingelitokea.

Maono:

Kisha Bwana akanipa maono ya glasi kubwa ya mvinyo, ambayo ilikuwa ni ndefu yapata urefu wa nyumba ya maofisi ya ghorofa 20.

Unabii:

Bwana akasema, "Glasi ya mvinyo itaanguka kule Bangkok, katika nchi ya Thailand."

Maono:

Kisha Bwana akanionyeshea kisu kikubwa, ambacho pia kilikuwa ni kikubwa yapata urefu wa nyumba ya maofisi ya ghorofa 20, ikiwa inaikatakata ardhi. Nami nilikuwa naona ardhi ikiwa inaachana kana kwamba ilikuwa ni ngozi ya mwili wa binadamu. (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.