|
1470. Vision given to Raymond Aguilera on 25 February 2000 at 12:40 PM. During prayer the Lord showed me a large round outdoor water fountain. From the center of the fountain and underneath the water came a woman carrying a child. The woman and the child's clothes were bright fluorescent white. The child was about one year old. |
1470. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 25 Februari 2000 saa 6:40 mchana. Wakati wa maombi Bwana alinionyeshea bomba kubwa sana la maji ya urembo ya kwenye bustani za kupumzikia. Kutoka katikati ya maji hayo yanayotoka kwenye bomba hilo la maji ya mapambo alitokea mwanamke akiwa amembeba mtoto. Mwanamke huyo pamoja na mtoto walikuwa wamevaa nguo nyeupe zilizokuwa zinameremeta na kung’ara sana. Mtoto huyo alikuwa na umri wa mwaka mmoja.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )