|
1473. Vision given to Raymond Aguilera on 28 February 2000 at 7:20 PM. During prayer the Lord showed me the Cascade Mountain Range. I could see Mt. Rainier, in Washington from high in the sky, and it was covered with snow on the top. I was looking from the sky, but towards the south, towards California. Some how, in the spirit, I could also see all the other major volcanoes along the Western Coast of the United States. Vision: I saw a circulating sanding tool used for sanding wood smooth or removing paint. Vision: I saw a wheel chair that was wheeled over to the edge of a garbage box and thrown into the garbage. Vision: I saw a vision of two people holding hands, and facing each other. There was a white bright light that went between their feet. Vision: While praying for the Body of Christ, I had a vision of a spider, a tarantella, walking. |
1473. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 28 Februari 2000 saa 1:20 usiku. Wakati wa maombi Bwana alinionyeshea misafa ya Milima iliyo pangana na kushikamana. Nilikuwa naweza kuona Mlima Rainier; wa kule Washington kutoka angani, na ulikuwa umefunikwa na barafu kwa juu yake. Mimi nilikuwa ninaangalia kutoka angani, lakini nikiwa upande wa kusini, upande wa Kalifonia. Kwa namna fulani nikiwa katika ulimwengu wa kiroho nilikuwa naweza kuona milima mingine yote ya volkano kwenye pwani yote ya magharibi ya nchi ya Amerika. Maono: Niliona mashine ya kupigia msasa ya mviringo na inayo zunguka inayotumika kwa ajili ya kupiga msasa mbao au kutoa rangi. Maono: Niliona kiti cha tairi ambacho kilizungushwa hadi kwenye ukingo wa boksi la takataka na kutupwa humo. Maono: Niliona maono ya watu wawili waliokuwa wameshikana mikono wakiwa wana angaliana. Kulikuwa na mwanga mkali mweupe ambao ulipita katikati ya miguu yao. Maono: Wakati nilipokuwa ninaomba kwa ajili ya Mwili wa Kristo; mimi niliona maono ya buibui wa aina ya “tarantella”, akiwa anatembea. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )