|
1475. Vision given to Raymond Aguilera on 6 March 2000 at 1:30 AM. During prayer the Lord said, "Thomas, Thomas…" over and over for about 3 minutes and during this prayer the Lord showed me a vision of the German swastika (cross). Vision: Then I saw the bottom of a right shoe with Three Holes in the bottom of the sole. (over) |
1475. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 6 Machi 2000, saa 7:30 usiku. Wakati wa maombi Bwana akasema, "Tomas, Tomas…" tena na tena na tena kwa muda wa dakika kama 3 hivi na wakati wa maombi hayo Bwana alinionyeshea maono ya alama ya kama msalaba ule wa wananzi wa Ki-Jerumeani uitwao msalaba wa “swastika”. Maono: Kisha mimi nikaona kitako cha soli la kiatu cha mguu wa upande wa kulia ukiwa na mashimo matatu ndani yake. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )