1476. Vision given to Raymond Aguilera on 7 March 2000 at 1:00 AM.

During prayer the Lord showed me a man standing next to a wall holding a cup and saucer. Then I saw this mountain goat rush and strike the man in the side with its head and curled horns. (over)

1476. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 7 Machi 2000 saa 7:00 usiku.

Wakati wa maombi Bwana alinionyeshea mtu akiwa amesimama karibu na ukita huku akiwa amshika kikombe na kisahani chake. Na kisha nikaona mbuzi wa porini akimvamia na kumpiga mtu huyo kwa kichwa chake chenye mapembe yake yaliyo kuwa yamepinda pinda kwenye sehemu ya ubavuni mwake. (Mwisho).

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.