1478. Vision given to Raymond Aguilera on 16 March 2000.

During prayer the Lord showed me the mouth of a large cave and as I watched the opening of this cave a large bull elephant came out and charged swing his large head and trunk in my direction. I could see him keeping guard as I saw other elephants leave the mouth of the cave and run into a high walled canyon in the other direction. (over)

1478. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 Machi 2000.

Wakati wa maombi Bwana alinionyeshea mdomo wa pango kubwa na wakati nilipokuwa nikiuangalia mdomo huo wa pango mara tembo dume alijitokeza humo akawa ananijia mimi kwa ghadhabu huku akiwa anatingisha kichwa chake na na kuzungusha mkonga wake. Nilikuwa ninamwona akiwa kama analinda wenake; wakati tembo wengine walipokuwa wanatoka kwenye pango hilo na kukimbilia kwenye korongo lililo kuwa na kingo zilizokuwa zimetelemka kwa ghafla kwenye sehemu nyingine. (Mwisho).  

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.