|
1479. Vision given to Raymond Aguilera on 16 March 2000 at 9 PM. During prayer at Carl's Bible study I had a vision of a single horse in a corral. Then, as I was watching the horse, I saw it divide itself into two different horses. Then this horse divided itself over and over, until the whole corral was full of horses. (over) |
1479. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 16 March 2000 saa 3 usiku. Wakati wa maombi kwenye kikundi cha kujifunza biblia cha Carl, mimi niliona maono ya farasi aliyekuwa peke yake kwenye miamba ya baharini ya aina ya koro. Kisha, wakati nilipokuwa nikimwangalia huyo farasi, nilimwona akijigawa katika sehemu mbili na kuwa mafarasi wawili. Na kisha farasi hao wakajigawa na kuwa mafarasi wengine zaidi tena na tena, mpaka miamba hiyo ya baharini ikawa imejaa farasi tupu. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )