1497. Prophecy given to Raymond Aguilera on 3 May 2000.

During my rest time, I laid down for a few minutes, but as soon as my head touched my pillow, the Lord gave me a vision of hundreds of mail boxes placed side by side. As I watched these mail boxes, the mailbox doors began to open up one by one.

Prophecy:

Then the Lord said, "They will seek help!" (over)

1497. Unabii aliopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Mai 2000.

Wakati wa mapumziko yangu, mimi nilijilaza kwa dakika chache, lakini mara kichwa changu kilipo gusana tu na mto wangu, Bwana alinipa maono ya mamia ya masanduku ya mabarua yaliyo wekwa ubavu kwa ubavu. Nilipokuwa ninayaangalia masanduku hayo ya barua, mara nikaona yakifunguka mmoja baada ya nyingine.

Unabii:

Kisha Bwana akasema, "Wataenda kutafuta msaada!" (Mwisho).

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza kwenye kitabu

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.