|
1498. Occurrence given to Raymond Aguilera on 3 May 2000. During prayer, my prayer language began to speak strange and unusual sounds. Sounds I had never heard before. I could feel the Power of the Holy Spirit come upon me, and at the same time, I could sense this incredible war in the spirit. All I know is - it has something to do with George W. Brush, the Governor of Texas, who is running for the President of the United States. There is something strange going on in the spirit world, for my body was left totally shaken, tired and wasted after this strange prayer. |
1498. Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 3 Mai 2000. Wakati wa maombi lugha yangu ya maombi mara ikaanza kujisemea kwa sauti ya ajabu ajabu na ambayo haieleweki. Sauti ambayo mimi sijawahi kuisikia hapo kabla. Mimi nilikuwa na sikia Nguvu za Roho Mtakatifu zikinijia na wakati huo huo mimi nilikuwa naweza kuhisi nguvu kubwa ya ajabu sana. Yote ninayo fahamu nikuwa – ilikuwa ni kitu kinacho husiana na George W. Brush, Mkuu wa Jimbo la Texas, ambaye anagombea Urais wa Amerika. Kulikuwa na mambo ya ajabu yaliyo kuwa yanaendelea katika ulimwengu wa kiroho, kwa maana mwili wangu uliachwa ukiwa umetikiswa sana, umechoka na kudhoofika sana; baada ya maombi hayo ya ajabu.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )