|
1500. Vision given to Raymond Aguilera on 7 May 2000 at 1:30 AM. During communion prayer the Lord gave me a vision of a gravestone and around the gravestone I could see a black rope tightly tied around it. I was left with the impression that the grave was in bondage. (over) |
1500. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 7 Mai 2000 saa 7:30 usiku. Wakati wa sala ya Chakula cha Bwana (Komunio) Bwana alinipa maono jiwe la kaburi na kuzunguka jiwe hilo la kaburi nilikuwa naweza kuona kamba nyeusi ikiwa imefungwa kwa uimara kuzunguka jiwe hilo la kaburi. Mimi niliachwa na hisia kuwa kaburi hiyo ilikuwa iko kifungoni au utumwani. (Mwisho).
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.P.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza Vitabu vya Unabii bonyeza
kwenye kitabu 
Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiw
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )