| 202. Vision
given to Raymond Aguilera on 5 September 1992 at 10:43 AM.
A vision of a boat, but instead of having wood sides, it was made of
God's fingers. Both His Hands were extended in the shape of a cup, but it
formed an Ark. As you would visualize Noah's Ark, it was beautiful, His
Hands were in the form of Noah's Ark. |
202. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 5 Septemba 1992, saa 4:43 asubuhi.
Maono ya mtumbwi, lakini badala ya kuwa na mbao pembeni, ilikuwa imeundwa
kwa vidole vya Mungu. Mikono Yake miwili ilikuwa imewekwa katika umbo la
kikombe, lakini ilikuwa imetengeneza Safina. Kama ilivyo katika sura ya
Safina ya Nuhu, ilikuwa nzuri sana, Mikono yake ilikuwa imetengezeza umbo
kama tunayoiona kwenye michoro ya Safina ya Nuhu. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )