| 204.
Prophecy, Dream, and Occurrence given to Raymond Aguilera on 5 September
1992 at 7:19 AM. in English.
Dream: I had a dream of a building in a rundown part of Richmond, California. My sister and another woman were with me. We went into this old shack with two small rooms. One room was about ten foot by ten foot and the other was about half that size. There were old wooden filing cabinets, weather beaten and cracked, but there was nothing in them. The building seemed to be empty, but I somehow sensed it wasn't. It was as if we had gone back into time. It was dark inside. The walls were of exposed wood, and the floor was made of wooden boards. There was order inside and nothing was broken, but the filing cabinets were empty. It looked as if someone had been doing business there, but no one was around. As we were leaving, My sister and this lady kept wasting time by talking. It was late in the evening, but it wasn't dark, as if it was daylight saving time. It was around eight o'clock. It was still late and night was approaching, but there was still plenty of daylight. Then out of nowhere, a Police officer, or Ranger of some kind, arrived and started asking us questions. For some reason we went inside the small building. The lady, my sister, the officer, and I were all startled, because in the larger room there were bar stools along the walls and in the center of the room that weren't there before. Somehow we were not in Richmond, California, anymore. We were back in the sixteen hundreds of England, I believe. It was kind of a work shop with a bunch of stools, with young Children sitting and working. They had their tables all organized and they were making noise, tapping and putting and assembling things together. Then as we looked into one corner of the room there was an older boy. He was about fourteen years of age. He was wearing shorts, had no shoes, and an old torn shirt. He was carrying this big sponge and he had these little boys against the wall. This one little boy was frightened. This older lad was giving them a sponge bath. He had this little section in this little corner of the room, with some of the little Children lined against the wall, and he was washing them, one at a time. It seems to me that he was taking care of them. There must have been fifteen or twenty Children. They looked like they were from four through ten years of age. The ones that were working, were wearing ragged old clothes like what you see in the old books written about England in the sixteen hundreds. I guess they call them child work shops, but this was not like that. It was like an orphanage, but not really an orphanage. It was as if this boy took it upon himself to wash and take care of these small Children. For they were working, but like I said, the older Lad was a child himself. I Remember, we were questioning him and he couldn't answer us. We took him in the other room, and He said he was working. He wanted to know who we were. We asked him how long he had been there, for it looked as if they had just found an empty building and set up shop. He looked up and said he had been there since something or the other. It didn't make sense. I asked what year he had come, again. He said some year which made no sense. He seemed to be evading the question, but he seemed to be telling the truth, that he came in that year. He acted as if he was not educated. Then, the next thing I knew, He walked outside. I followed after him because he started to cry. The Ranger started to look for him. Occurrence: Something unusual is happening to my body as I speak into my tape recorder. I sense the Presence of the Lord. Dream: What came to my mind was that they were locked into time. They were working and this young boy was taking care of them. I asked, "What's the name of your company, your business?" He said, "This is the Toby House," with a where have you been sort of look. "Everybody knows this is the Toby House," He said. I had a sensation they were going to disappear for some reason, but they didn't. A real bizarre dream. Very Bizarre. I could sense the boy sensing, "I didn't do anything wrong, I am just taking care of my brothers and sisters, the homeless, the ones that have no one." "What did I do wrong?" This is the impression I kept getting from him, from his eyes, from the fear in his body. They were all frightened. You could see it in there eyes, there faces were saying what's going on, because they noticed that we were strangely dressed. It looked like they were mending and tapping on their little things. They were dirty, but they were organized. Six to a row and there were about four rows. In this one corner this little boy didn't want to be washed, and this young Lad was taking it upon himself to wash him. He had this big sponge, as if he was saying to the little boy, get ready, because, it's coming at you. The little boy covers his face and eyes. So the young lad started washing him. He had a sincere love for his brothers, but they weren't his brothers. It looked like they were Children from the streets, and they were all just making it, trying to survive. I believe that they weren't in Richmond, California, at all. They were back in England someplace. Someplace called Toby House. This is one of those very real and unusual dreams that leaves an impression on your mind. I guess he was taking care of street Children and he was a street person himself. He was doing whatever he could do, but he was a child himself, with determination. Occurrence: I don't know the significance of the dream, but I believe I am Prophesying. For my body has goose bumps all over. Prophecy: The Lord said, "Feed My Sheep, the little ones, the ones that have no one. They're babies, the little ones, the babies, somebody has to take care of them."Occurrence: I cannot understand, but I am crying and I cannot stop. I don't understand! What's going on? I can't stop crying. The Presence of the Lord is extremely STRONG! Prophecy: Reymundo! This is Jehovah, the Lord of Lords, the King of Kings, the Holy Spirit. "Remember the Dream!" Implant it into your mind. "Remember their faces." For the day will come when the people in the large cities, the Children, will live like you see in your dream. It was not England. It will happen in the future, in the large cities, in the cities where the Beast will devour the Body. Groups of Children will band together to try to survive, for the times ahead for the Body of Christ, for the world, will be severe. Listen to My Words, the day of Armageddon is fast and steadily approaching this Planet. The vengeance of the devil, Satan will try to destroy all that is good, all that is righteous. Document this Dream, Prophecy, Occurrence. "Remember the dream." "Remember the event." (Non-understandable tongues?) This is Jehovah, Creator of the Universe. Creator of the Stars, Heaven, the World, of the Universe. My Heavenly Angels will protect you, will guide you through the dark days, through the valley of death. Pray and Pray and Pray for your Lord will never forsake you. Jehovah God's Word does not Lie. Turn to Jesus Christ of Nazareth. Repent of your Sins. Look to My Son Jesus Christ of Nazareth with your whole heart, mind, and soul. He is your cover, through the Holy Spirit you will find Me, Jehovah. With tears in My Eyes, listen to the Prophecies. Listen To the Dreams, Listen to the Occurrences and PRAY AND PRAY AND PRAY AND PRAY! |
204. Unabii,
Ndoto, na Matukio aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 5 Septemba 1992, saa
1:19 asubuhi katika lugha ya Kiingereza.
Ndoto: Nilikuwa na ndoto ya jengo lililo kuwa limejengwa katika eneo fulani lililochakaa la mtaa wa Richmond, California. Dada yangu na mwanamke mwingine walikuwa pamoja nami. Sisi tulienda katika nyumba hiyo iliyoku imechakaa, ikiwa na vyumba viwili. Chumba kimoja kilikuwa na ukubwa wa futi kumi kwa kumi na cha pili kulikuwa na ukubwa nusu ya kile cha kwanza. Kulikuwa na makabati mazee ya kuhifadhia mafaili, samani hiyo ilikuwa imechakazwa na hali ya hewa kiasi ambacho yalikuwa na mipasuko ya hapa na pale, lakini hayakuwa na chochote ndani yake. Jengo lile lilikuwa linaonekana kuwa tupu, lakini mimi nikama nilihisi kuwa halikuwa tupu. Ilikuwa kanakwamba tulikuwa tumerudi nyuma katika nyakati. Nyumba yenyewe ilikuwa ni giza tupu kwa ndani. Kuta zake zilikuwa ni za mbao ambazo zimechakazwa na hali ya hewa, na sakafu imeundwa kwa vipande vya mbao. Kulikuwa na mpangilio humo ndani na hapakuwa na chochote kilichovunjiaka, lakini makabati ya kutunzia mafaili yalikuwa matupu. Ilikuwa inaonekana kanakwamba kulikuwa na mtu aliyekuwa akifanya shughuli hapa, lakini hapakuwa na mtu yeyote pale. Lakini wakati tulipokuwa tunaondoka, dada yangu na yule mwanamke wakawa wanaendelea kupoteza muda kwa maongezi yao. Zilikuwa ni saa zilizokuwa zimeenda za jioni, lakini giza lilikuwa bado halijaingia, ilikuwa kama wakati wa chakula cha jioni. Ilikuwa kama saa mbili hivi za usiku. Muda ulikuwa umekwishaenda na usiku ulikuwa unakuja, lakini bado kulikuwa na mwanga wa kutosha wa jioni. Kisha kwa ghafla, Ofisa wa Polisi, au Mgambo wa aina fulani alifika na kuanza kutuuliza maswali. Kwa ajili ya sababu fulani sisi tuliingia ndani chumba fulani ndogo. Yule mwanamke, dada yangu, yule ofisa na mimi tulishangazwa, kwa sababu katika chumba fulani iliyo kuwa kubwa kidogo kulikuwa na stuli kama zile za kwenye baa kuzunguka ukuta na katikati ya chumba hicho ambayo pale mwanzo ni kama havikuwepo. Kwa namna fulani ilikuwa inaonekana kama hatukuwa kule Richmond Kalifonia tena. Tulikuwa ni kama tukolikuwa kwenye wakati ule wa karne za kumi na sita za Uingereza, nadhani. Ilikuwa ni aina ya karakana iliyokuwa na mastuli mengi mengi na watoto wadogo wakiwa wamekaa na kufanyakazi. Walikuwa na meza zao zilizopangwa vizuri na walikuwa wakifanya makelele, wakigongelea, wakipigilia, wakiunganisha vitu vyao pamoja. Kisha wakati tulipokuwa tunaangalia kwenye kona mmoja ya chumba, kulikuwa na mtoto mkubwa kidogo. Alikuwa na umri kama wa miaka kumi na minne hivi. Alikuwa amevaa kaptula, hakuwa amevaa viatu, na alikuwa amevaa shati kuukuu; iliyokuwa imechanika chanika. Alikuwa amechukua sponji kubwa mkononi mwake, na alikuwa na hawa watoto wadogo waliojipangwa ukutani kwa mstari. Huyu mtoto mdogo alikuwa ameogopa sana. Huyu mtoto mkubwa alikuwa akiwaogesha kwa sponji. Alikuwa na nafasi hii ndogo; kwenye kona ya chumba, akiwa na watoto wengine wadogo; waliojipanga kwenye ukuta ule, naye akiwa anawaogesha mmoja baada ya mwingine kwa sponji hiyo. Ilikuwa inaonekana kwangu; kama yeye alikuwa anawatunza wao. Nadhani kulikuwa na watoto kama kumi na watano au ishirini hivi. Walikuwa wanaonekana kana kwamba ni wa miaka kuanzia minne, hadi miaka kama kumi hivi. Wale waliokuwa wanafanyakazi walikuwa wamevaa nguo zilizochakaa na kuchanika chanika, kama ilivyo kwenye vile vitabu vya hadithi za Uingereza ya karne ya kumi na sita. Nadhani wao wakati huo walikuwa wanaziita karakana au viwanda vya watoto, lakini hii haikuwa kama hizo karakana. Ilikuwa kama sehemu ya kulea watoto yatima, lakini haikuwa hasa nyumba ya yatima. Ilikuwa ninaonekana kana kwamba, huyu mtoto alijipa madaraka yeye mwenyewe, ya kuwaosha na kuwatunza hao watoto wenzake wadogo. Kwa maana walikuwa wakifanya kazi, lakini kama nilivyosema, yule mtoto mkubwa naye alikuwa bado ni mtoto. Kumbuka, sisi tulikuwa tukimwuliza maswali na yeye hakuweza kutujibu sisi. Sisi tukamchukua kwenye chumba kingine, na yeye alituambia kuwa alikuwa anafanya kazi. Naye alitaka kujua sisi ni akina nani. Sisi tulimwuliza ni kwa muda gani alikuwa hapo, kwa maana ilikuwa inaonekana kana kwamba wamekundua jengo hilo lililokuwa tupu siku za hivi karibuni, na kuanza za shughuli zao au karakana yao ya kazi mahala hapo. Lakini yeye aliniangalia na kunijibu kuwa, walikuwa pale toka wakati fulani au nyakati fulani. Mimi sikuelewa au haikumaanisha lolote kwangu. Mimi nikamwuliza tena ni mwaka upi alifika pale. Yeye akaniambia mwaka fulani ambao kwangu haukunipa maana yeyote. Yeye alikuwa ni kama anakwepa maswali yangu, lakini yeye alikuwa anaonekana kama aliyekuwa anasema ukweli, yakuwa alikuwa amekuja mwaka ule. Alikuwa anajifanya kama hajasoma. Kisha, kitu nilichokuwa nafahamu ni kuwa alienda nje. Mimi nikamfuata kwa sababu alianza kulia. Yule mgambo akaanza kumtafuta. Matukio: Kuna kitu kisichokuwa cha kawaida kinachotokea kwenye mwili wangu wakati ninapozungumza kwenye kinasa sauti changu hichi. Nahisi Uwepo wa Bwana. Ndoto: Kilichokuwa kina kuja kwenye mawazo yangu nikuwa, walikuwa wameunganishwa kwenye wakati. Wao walikuwa wanafanya kazi, na mtoto huyo alikuwa anawatunza wao. Mimi nikauliza, "Jina la kampuni au biashara yenu inaitwaje?" Yeye alisema, "Hii ni Nyumba ya Tobby" akawa ananiangalia kwa mshangao kama mtu anayesema hivi wewe unatokawapi. "Kwani kila mtu anajua Nyumba hii ya Tobby" akasema. Mimi nikawa nahisia kuwa wao wangeenda kupotea kwa sababu fulani, lakini hawakupotea. Ilikuwa Ndoto ya Ajabu, Ndoto ya Ajabu kweli. Nilikuwa nahisia kuwa yule mtoto alikuwa anahisi "mimi sikufanya lolote kibaya, nilikuwa tu nawatunza kaka na dada zangu, kwenye nyumba ya yatima, wale ambao hawakuwa na mtu wa kuwatunza" "je, nimekosa nini?" Hili lilikuwa hisia niliyokuwa naendelea kupata kutoka kwake kila wakati, kutoka kwenye macho yake, kutoka kwenye wasiwasi uliokuwa kwenye mwili wake. Wao wote walikuwa na uwoga mkubwa. Wao wote walikuwa na uwoga, ulikuwa unaweza kuona wazi kutoka kwenye macho yao, nyuso zao zilikuwa zinasema yote yaliyokuwa yakitokea kwenye miili yao, kwa sababu walikuwa wameona jinsi tulivyovaa kiajabuajabu na mavazi ambayo nitofauti na mavazi wao waliyokuwa wamevaa. Ilikuwa inaonekana kama; wao walikuwa wakishona, na kugonga vitu vyao vidogo vidogo. Wao walikuwa wachafu, lakini walikuwa wamejipanga na wanafanya kazi zao kwa nidhamu. Walikuwa sita katika kila mstari na kulikuwa na mistari minne hivi. Kwenye korna fulani ya pale kwenye chumba, palikuwa na mtoto fulani mdogo ambaye hakupenda kuoshwa, lakini huyu mtoto mkubwa kidogo, akawa ameamua kwa nguvu kumwosha. Alikuwa amechukua sponji ile kubwa, kanakwaba anamwambia mtoto yule mdogo jitayarishe kwa sababu inakujia wewe sasa. Yule mtoto mdogo anafunika uso wake na macho yake. Hivyo yule mtoto mkubwa anaanza kumwosha mtoto yule mdogo. Alikuwa na upendo halisi kwa ndugu zake, lakini hawakuwa ndugu zake. Ilikuwa inaonekana kama Watoto kutoka mitaani, na walikuwa wanajitahidi kufanya juu chini; ili mradi waweze kuishi. Naamini hawakuwa Richmond Kalifonia kamwe. Walikuwa kule Uingereza, mahala fulani. Mahala fulani panapoitwa Nyumba ya Tobi. Hii ilikuwa mmoja ya zile ndoto za uhakika amabazo; siyo za kawaida, na inayoacha kumbukumbu akilini mwako. Naamini alikuwa anawatunza watoto wa Mitaani, na yeye mwenye bila shaka; alikuwa mtoto wa mitaani. Yeye alikuwa anafanya lile analoweza kufanya, lakini yeye naye alikuwa mtoto bado, lakini aliyekuwa na ujasiri. Matukio: Mimi sijui sielewi maana ya ndoto hiyo, lakini naamini kuwa natoa Unabii. Kwa maana mwili wangu wote ulikuwa umesisimka sana, na nywele za malaika za mwili wangu zimesimama. Unabii: Bwana akasema, "Lisha kondoo Wangu, wale walio wadogo, wale wadogo wasio na wakuwatunza. Wao ni watoto wachanga, wale wadogo, watoto wachanga, mtu fulani lazima awatunze."Matukio: Mimi nashindwa kuelewa, lakini mimi ninalia na ninashindwa kujizuia. Mimi nashindwa kuelewa kunatokea nini? Mimi nashindwa kujizuia nisilie. Uwepo wa Bwana ni MKUBWA KWELI! Unabii: Reymundo! Huyu ni Yehova, Bwana wa Mabwana, Mfalme wa Wafalme, Roho Mtakatifu. "Kumbuka Ndoto ile!" uipande kwenye akili yako. "Kumbuka nyuso zao." Kwa maana siku zinakuja kwa watu walioko kwenu miji mikubwa, Watoto wataishi kama ulivyoona kwenye ndoto hiyo. Haikuwa Uingereza. Itatokea katika siku zijazo, katika miji mikubwa, kwenye miji ile ambayo Mnyama atatafuna Mwili. Vikundi vya Watoto watakusanyana; ili wajaribu kuishi, kwa maana muda ulioko mbele yenu; kwa Mwili wa Kristo, kwa Dunia, utakuwa mgumu sana. Yasikilizeni Maneno Yangu. Siku ya Armageddon inaijia Sayari hii kwa haraka na kwa kasi kubwa. Hasira ya shetani, ibilisi, itajaribu kuangamiza kila kitu kilicho chema, kilicho adilifu. Iandike ndoto hii, Unabii huu, Matukio haya. "Kumbuka hiyo ndoto." "Kumbuka hiyo tukio." (lugha isiyoeleweka?) Huyu ni Yehova, Muumbaji wa Ulimwengu. Muumbaji wa Nyota, Mbingu, Dunia, wa Ulimwengu. Malaika Wangu wa Mbinguni watawalindeni ninyi, watawaongozeni katika siku zile za giza, katika bonde la mauti. Ombeni, na Ombeni, na Ombeni kwa maana Mungu wenu kamwe; hatawaacheni ninyi. Neno la Mungu Jehova kamwe halidanganyi. Mgeukieni Yesu Kristo wa Nazareti. Tubuni dhambi zenu. Mtafuteni Mwanangu Yesu Kristo; kwa Mioyo yenu yote, akili zenu zote, na nafsi zenu zote. Yeye nikinga yenu; kwa njia ya Roho Mtakatifu, mtaweza kunipata Mimi Yehova. Pamoja na Machozi Machoni Mwangu, yasikilizeni Maneno ya Unabii huu. Isikilizeni ndoto hiyo, yasikilizeni matukio hayo, na MUOMBE NA MUOMBE, NA MUOMBE NA MUOMBE! |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )