| 207.
Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 11 September 1992 at 7:10
AM. in English.
Vision: I had a vision of oil just soaking into the ground.
Prophecy: Then the Lord said: "The beginning of the end will begin when the oil stops." The hour of the day is upon you when the Beast will control the economy of the world with a forceful hand, with a heavy hand. He will rule the planet earth with the power of the air".Vision: I see a Cross, except the top point of the cross is a funnel. It's as if something is being placed into the funnel part of the Cross, to fill up the Cross.
|
207. Unabii
na maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 11 Septemba 1992 saa 1:10 katika
lugha ya Kiingereza.
Maono: Niliona maono ya mafuta yaliyokuwa yanavujia ardhini tu.
Unabii: Kisha Bwana akasema: "Mwanzo wa mwisho utaanza pale mafuta yatakapo katika." Saa ya siku hiyo iko mbele yenu ambako Mnyama atakapo tawala uchumi wa Dunia kwa mkono mzito, mkono wa kushurutisha, kwa mkono wa ulazima. Yeye ataitawala Sayari ya Dunia hii kwa nguvu za anga (nguvu za kishetani)".Maono: Naona Msalaba, ila juu ya msalaba kuna faneli ya kumiminia mafuta. Ni kanakwamba kuna kitu kinamiminwa kwenye faneli hiyo; iliyo juu ya sehemu ya msalaba ili kuujaza Msalaba huo. Kuna kitu kinacho miminwa kwenye faneli
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )