| 209. Vision
given to Raymond Aguilera on 13 September 1992 at 1:52 PM.
Vision: During prayer I saw a heart, then it split open. Then a gun sprung out of the middle of the heart.
I asked the Lord for an explanation and the next thing I see is a pair of hands sweeping. That's all!
Vision: I see the sun coming over the horizon between some white clouds.
|
209. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 13 Septemba 1992, saa 7:52 mchana.
Maono: Wakati wa sala niliona moyo, kisha ikafunguka wazi katikati. Mara bunduki ilijichomoza katikati ya moyo huo.
Nilimwuliza Bwana kuhusu maana yake, na kilichofuata kukiona kilikuwa ni maono ya mikono miwili ikifagia. Hayo ni yote!
Maono: Ninaona jua likichomoza kutoka miisho ya dunia, katikati ya mawingu meupe
kadhaa.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )