| 214. Dream
given to Raymond Aguilera on 28 September 1992 at 4:45 AM.
I had a long dream. I kept seeing people walking and witnessing in the streets giving strangers Communion. I saw little stands on curbs of streets, sometimes in front of Churches, sometimes on street corners for anyone that wanted to stop by and have Communion. It was one of those very real dreams. I can't seem to get it out of my mind the importance of having Communion. Not because it was quick and fast, it was because you were remembering the Body of Christ, the Blood of Christ. The significance is that He died for us. The dream really left a strong impression on me. I still can see the images in my mind. People witnessing in the slums and giving Communion. People on the curb side waiting for anyone that wanted to drive up and have Communion before or after work. That was the dream. |
214. Ndoto
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 28 Septemba 1992 saa 10:45 usiku.
Nilikuwa na ndoto ndefu. Nilikuwa naona watu wakitembea na kushuhudia kwenye mitaa, wakiwapa wageni wasiowafahamu Komunio. Nilikuwa naona vibanda vidogo kwenye maeneo ya mitaa wakati fulani mbele za Makanisa wakati fulani kwenye kona za mitaa kwa ajili ya mtu yeyote anayetaka kusimama na kula Komunio. Ilikuwa mmoja ya ndoto zile ambazo ni za kweli. Inaelekea nashindwa kupata njia ya kutoa kutoka kwenye mawazo yangu ilivyo ya lazima kula Komunio. Siyo kwa sababu ilikuwa ya upesi na ya haraka sana, ila ilikuwa kwa ajili ya kukumbuka Mwili wa Kristo, damu ya Kristo. La muhimu ni kuwa alikufa kwa ajili yetu sisi. Ndoto hiyo iliacha kumbukumbu kubwa kwangu kweli. Bado naona vifuli vya watu hao waliokuwa wakihubiri na kushuhudia mitaani kwenye vichochoro vya ovyoovyo na wakitoa Komunio. Watu wakiwa kwenye vichochoro wakiwa wanamngojea mtu yeyote anayetaka kuja kupokea Komunio kabla au baada ya kazi. Hiyo ilikuwa ndiyo ndoto yenyewe. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )