| 217. Vision
given to Raymond Aguilera on 1 October 1992 at 9:05 AM. I had a vision
of a pyramid, but it was upside down. The first third of it was gone and it
was flat and it was facing down. The pyramid was up in the air. The large
square bottom was facing up. As I said before, instead of it coming to a
point the top third was flat and pointing down and off the ground. I have no
idea of its meaning.
|
217. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 1 Oktoba 1992, saa 3:05 asubuhi.
Niliona maono ya piramidi, lakini ilikuwa kichwa chini. Theluthi mmoja ya
kwanza imeondoka, na ilikuwa ni tambarare na ilikuwa kichwa chini. Piramidi
hiyo ilikuwa inaelea hewani. Mstatili mkubwa yaani chini kwenye kitako chake
kilikuwa kinaangalia juu. Kama nilivyo sema hapo awali, badala kule juu
kuchongoka, theluthi mmoja ya juu ilikuwa tambarare na ilikuwa inaelea
hewani juu ya ardhi. Sikuelewa maana yake hasa ni nini.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )