| 224.
Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 14 October 1992 at 1:37 PM.
in English and Non-understandable tongues. I had a vision of enormous claws. They were two claws. They looked like what you see on the back of a pincher bug, but they were long, about two feet. Then someone went and cut them off with a pair of scissors.
Vision: I see a fat candle and it is lit with a small light or flame.
Vision: I see a ceramic pot, big and round, with a round lid. Then someone lifts up the lid and looks inside to see if what is inside the pot is cooked. I think they are smelling something. Something is cooking. Vision: I see a Three Strand Rope and it's being twisted very tight.
Vision: I see a bundle of sticks that are to be burned. They are tied on each end. The sticks are various sizes, and wrapped in bundles of twelve inches in diameter, with a rope tied on each end. They are about two feet in length.
Vision: I see the lid of an Egyptian mummy case with the carving of the Egyptian or whoever is inside, with its arms crossed, as you would see in a museum. |
224. Unabii
na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 14 Oktoba 1992, saa 7:37 mchana
katika lugha ya Kiingereza. Na Lugha isiyoeleweka.
Mimi niliona maono ya makucha makubwa sana. Yalikuwa makucha mawili. Yalikuwa yanaonekana kama makucha yale yaonekanayonyuma ya mdudu yule wa aina ya "pincher bug", lakini haya yalikuwa marefu, kama urefu wa futi mbili. Kisha mtu mmoja akaja akazikata kwa mkasi.
Maono: Naona mshumaa mnene na unawashwa kwa kiberti ndogo au mwenge mdogo.
Maono: Mimi naona chungu la kauri, kubwa na iliyo ya mviringo, ikiwa na kifuniko kilichokuwa na cha mviringo. Kisha mtu fulani akanyanyua kifuniko chake ili akaangalie kama kilichoko ndani ya chungu hicho kimeiva. Nadhani wananusa kitu fulani. Kuna kitu fulani kina pikwa. Maono: Naona kamba iliyonamisokoto mitatu na ilikuwa inaendelea kukazwa kwa kusokotwa.
Maono: Naona kifungu cha fito au kuni za kuunguzwa. Kuni zenyewe zimefungwa kila upande. Kuni hizo zilikuwa ni za unene unaotofautiana, na zimefungwa katika vifungu vya unene wa inchi kumi na mbili; kwa kila kifungu kwa upenyo, zikiwa zimefungwa kwa kamba kila upande. Zilikuwa za urefu wa kiasi cha futi mbili mbili hivi.
Maono: Naona kifuniko cha sanduku la kuhifadhia maiti za kale za Ki-farao wa Misri (Mumy), ikiwa na maandishi ya kimisri juu yake aidha ikiwa na maiti ndani yake na huyo aliyekuwa ndani yake anaonekana kuwa amekunja mikono yake kama ilivyo kawaida yake ya maiti au "mumy" hizo zilivyo katika nyumba za kuhifadhi historia "museum". |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )