| 228. Vision
given to Raymond Aguilera on 28 October 1992 at 8:52 PM in English.
Vision: I just saw someone walking, wearing a pair of boots. A pair of black boots with red soles, walking on a sheet of Plexiglas. I was under the Plexiglas and could see the red soles. I have no idea of its meaning, but I was lead to put it down.
|
228. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 28 Oktoba 1992, saa 2:52 jioni katika
lugha ya Kiingereza.
Maono: Mimi niliona maono ya mtu fulani aliyekuwa akitembea; amevaa viatu vya mabuti. Mabuti mweusi yaliyokuwa na soli nyekundu, akiwa anatembea juu ya kipande kipana cha kioo cha aina ya "Plexiglas". Mimi nilikuwa chini ya kioo hicho, na kwa hiyo nikawa naweza kuona rangi ya soli ya mabuti hayo mekundu. Kwa kweli mimi sielewi maana ya maono hayo, hati hivyo niliongozwa kuyaandika maono hayo.
|
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )