234. Vision given to Raymond Aguilera on 26 November 1992 at 10:33 AM.

I see a nuclear explosion.

I have a vision of the Eiffel Tower in Paris.
 

I see a hand held magnifying glass.

I see a pyramid looking down from the top, directly down at the vertex.

I see an image of the United States of America as you would see a national map.

I see an image of a glass salt shaker trying to change itself into the image of the Eiffel tower. It has a regular salt shaker metal top with a glass bottom. It's trying to form itself into the Eiffel Tower in Paris.
 

Vision:

I see the image of an eagle, standing on top of a hill, but it doesn't have wings. It has human arms and hands. The eagle is holding its arms and hands behind him. They are not tied. The eagle is just looking down this hill, and below the hill, I see the Eiffel Tower of Paris. It's a very dark brown eagle.

The Lords says, "Car'ma. Car'ma, My son. Car'ma, My son."

(I don't know the meaning of the Word Car'ma. The word that came in Spanish tongues.)

I have an image of a creature with a mouth filled with crooked, jagged teeth. I have never seen a mouth with so many jagged teeth. It has it's mouth open.

I see an image of a shield and a crutch.
 

234. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 26 Novemba 1992, saa 4:33 asubuhi.

Naona mlipuko wa kinuklia.

Naona maono ya Mnara wa Eiffel ulioko Paris (Ufaransa).
 

Naona darubini ya kioo kinachoshikwa mkononi cha kukuzia sura za vitu.

Naona piramidi, Mimi nikiwa ninaiangalia kutoka juu na nikiwa nikiangalia mmoja kwa mmoja kutoka kwenye ncha yake ya juu.

Naona maono ya sura ya ramani ya Amerika kama inavyooneka kwenye ramani rasmi ya taifa.

Naona sura ya chupa ndogo ya kuwekea chumvi ya mezani ikiwa inajaribu kujibadilisha na kuwa mnara wa Eiffel (ule wa Paris Ufaransa). Ilikuwa na kifuniko cha kawaida chenye matundu ya kutolea chumvi na sehemu ya kioo. Ikiwa inajaribu kujigeuza na kuwa Mnara wa Eiffel wa Paris.
 

Maono:

Naona sura ya tai, akiwa amesimaa juu ya kilima, lakini hakuwa na mabawa. Alikuwa na mikono na viganja vya kibinadamu. Tai huyu alikuwa ameshikilia mikono yake hiyo, nyuma yake. Mikono hiyo ilikuwa hayajafungwa. Tai huyo alikuwa anaangalia tu; chini bondeni kutoka kilimani hapo, na kule bondeni mimi nilikuwa naona Mnara wa Eiffel wa Paris. Alikuwa tai mwenye rangi ya udongo wenye uweusi zaidi.

Bwana akasema, "Car'ma. Car'ma, Mwanangu. Car'ma, Mwanangu."

(Mimi sielewi maana ya Neno Car'ma. Neno ambalo linatamkwa kwa matamshi ya Kihispaniola.)

Mimi naona maono ya sura ya kiumbe chenye mdomo uliojaa meno; iliyo pinda pinda na yenye ncha kali kama ya msumeno. Sijawahi kuona mdomo uliokuwa umejaa meno mengi kama ya msumeno kama huo tena. Kiumbe huyo alikuwa ameufungua mdomo wake.

Naona maono ya ngao na gongo la kutembelea mgonjwa.
 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.