235. Vision and Dream given to Raymond Aguilera on 26 November 1992 at 12 noon.

Vision:

A vision of someone holding a hand gun.

Dream:

A dream of a man and woman. Someone was giving me instructions on "How man has a trait that draws man to woman, people to people." That brings society together. I was shown the word for this. It was spelled out. I remember trying to pronounce the word and couldn't. That's why I call it "This something." I just couldn't pronounce it, no matter how hard I tried. It started with the letter E. That "Something" makes people gather together. It was installed in the human race.

Then, I was shown insects and how insects had this same "something" that drew them together, but they had a little less of it, but even though, insects go off on their own, after they are born. They always have "this something" that draws them back to the same species. Everything, that has ever existed had it. A very unusual dream. Then there was a storm and a wooden car appeared, but it looked like a bus. It was made out of wood and the people that would ride it would have to sit on wooden seats. It had no roof. It had a canvas top. It was an open bus. They drove me with someone else, some place. Then we were shown again that all people have "this something." That everything has it, no matter how independent, how individual you are, "this something" kept you bonded to the group, to the race, to the society. I don't understand the dream outside what I said. It sounded like common sense.
 

235. Maono na Ndoto aliyopewa Raymond Aguilera 26 Novemba 1992, saa 6 mchana.

Maono:

Maono ya mtu Fulani aliyekuwa ameshika bastola.

Ndoto:

Nilikuwa na ndoto ya mwanaume na mwanamke. Mtu fulani alikuwa ananipa mimi maelekezo kuhusu "Jinsi binadamu alivyokuwa na maumbile au tabia "trait" au mvuto ambao unawavuta mwanaume kwa mwanamke, watu kwa watu." Kitu ambacho kinavuta jamii pamoja. Mimi nilionyeshewa jina la neno lililopewa tabia hiyo. Nikapewa kariri za herufi zake "speling" nakumbuka nilijaribu kulitamka neno hilo lakini likanishinda. Hiyo ndiyo sababu naita "hicho kitu fulani." Kwa kweli nilishindwa kulitamka neno hilo, bila kujali ni kwa kiasi gani nilijaribu. Ilianza na herufi E. "hiyo kitu fulani" inayowafanya watu wakusanyane pamoja. Ilikuwa imewekwa katika jamii ya binadamu.

Kisha, nikaonyeshewa wadudu na kuonyeshewa jinsi nao pia walivyokuwa wamepewa "hicho kitu" nakuwa hicho kitu ndicho kinacho wavuta pamoja, lakini hata hivyo wao wanayo kidogo zaidi kuliko binadamu, lakini ingawaje wadudu wanaondoka mara wanapoanguliwa au kuzaliwa. Lakini siku zote wanayo "hicho kitu fulani" ambacho kinawavuta pamoja katika kundi la wadudu wa aina mmoja. Kila kitu kilicho wahi kuwapo kinacho "hicho kitu". Kwa kweli ilkuwa ndoto isiyo ya kawaida. Kisha kukawa na dhoruba na mara gari la mbao likajitokeza, lakini lilikuwa linaonekana kama basi. Lilikuwa limeundwa kwa mbao na watu wote waliokuwa wanaipanda ilikuwa inawabidi wakae kwenye viti vya mbao. Lilikuwa halina paa. Walinichukua mimi na mtu mwingine kwenda mahala fulani. Kisha nikaonyeshewa tena kuwa watu wote walikuwa na "hicho kitu fulani". Yakuwa kila kitu kinacho; bila kujali kinajitegemea kwa kiasi gani, bila kujali kiasi cha ubinafsi alionao, "hicho kitu fulani" kinamfunga kwenye kikundi, kwenye kabila, kwenye aina ya rangi fulani, kwenye jamii fulani. Kweli sielewi ndoto hiyo zaidi ya kile nilichokisema. Inaonekana kama ni busara tu ya kawaida.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.