237. Prophecy and Vision given to Raymond Aguilera on 28 November 1992 at 6:30 PM. in English and Non-understandable tongues.

Vision:

I see a nuclear explosion.

Prophecy:

I hear something about the owl. "When the owl begins to move."

Vision:

I see a bag of gold. I am seeing people, but not really people. I don't really understand, but images of people. (Non-understandable tongues)

Prophecy:

"When the owl flies back to the nest. When the owl flies back to the nest. Watch the owl. The nuclear bomb will be set as the owl flies east. The owl. The owl is sneaky. The owl is wise. When the owl flies east the bomb will explode. (Non-understandable tongues) Beware of the three clawed foot, beware of the three clawed foot. When the Liberty Bell rings. When the Liberty Bell rings. The three clawed foot. The paw with three claws."

237. Unabii na Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 28 Novemba 1992, saa 12:30 mchana katika lugha ya Kiingereza na Lugha isiyoeleweka.

Maono:

Naona mlipuko wa Kinuklia. .

Unabii:

Nasikia kitu kuhusu Bundi. "Wakati bundi atakapoanza kuondoka."

Maono:

Naona mfuko wa dhahabu. Mimi naona watu, lakini siyo sura halisi ya watu. Kwa kweli sielewi, lakini naona vifuli vya watu. (lugha isiyoeleweka)

Unabii:

"Wakati bundi atakapo ruka kurudi kwenye kiota chake. Wakati bundi atakaporuka kurudi kwenye kiota chake. Mwangalie bundi. Bomu la kinuklia litategwa wakati ule bundi atakapo kuwa anaruka kwenda mashariki. Bundi. Bundi ni mjanja. Bundi anabusara. Wakati bundi atakaporuka kwenda mashariki bomu litalipuka. (lugha isiyoeleweka) Jihadharini na mguu wenye kucha tatu. Jihadharini na mguu wenye kucha tatu. Wakati kengele ya Uhuru itakapoanza kulia. Wakati kengele ya Uhuru itakapoanza kulia. Mguu wenye kucha tatu.

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.