240. Vision given to Raymond Aguilera on 29 November 1992 at 7:34 AM.

A vision of a mountain of grave headstones. I don't know if there was an earthquake, but they started to roll down this mountain. They started rolling, head over end, down the mountain side.
 

Vision: at 8:05 AM.

I had a vision of a shelf full of human skulls. There was a pile of them also, but just the skulls.

240. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 29 Novemba 1992, saa 1:34 asubuhi.

Maono ya mlima wa alama ya makaburi (misalaba). Sielewi kama kulitokea tetemeko la ardhi, lakini vilianza kuviringika kutoka kwenye mlima huo kuja huku chini. Vilianza kuviringika kichwa chini kichwa chini hadi chini kwenye miguu ya mlima.
 

Maono: saa 2:05 asubuhi.

Nilikuwa na maono ya shelfu iliyojaa fuvu za vichwa vya watu. Kulikuwa na rundo lingine kubwa pia, lakini ni fuvu za vichwa pekee.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.