247. Vision given to Raymond Aguilera on 9 December 1992 at 4:26 PM. in English, Spanish and Non-understandable tongues.

I see a metronome, one of those instruments that help musicians keep time as it goes from side to side and goes tick tack as its needle moves from side to side.

 

247. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 9 Desemba 1992, saa 10:26 jioni katika lugha ya Kiingereza, Kihispaniola na Lugha isiyoeleweka.

Naona "metronome", aina ya chombo inayowasaidia wapiga muziki kuweka wakati wakati wanapopiga muziki na huwa inaenda yeyewe kutoka upande huu hadi upande ule na inaenda "tick tack" kwa jinsi msumari wake unavyenda kutoka upande huu na kwenda upande ule.

 

 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.