250. Vision given to Raymond Aguilera on 10 December 1992 at 9:57 PM.

I had a vision of a hand written letter. I believe there were two pages. I have no idea of what it says, but it was written to me.

I just had a vision of a sandal. I can only see one.

 

250. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 10 Desemba 1992, saa 3:57 jioni.

Niliona maono ya barua iliyoandikwa kwa mkono. Naamini ilikuwa ya kurasa mbili. Sielewi kumeandikwa nini humo, lakini nilikuwa nimeandikiwa.

Niliona maono ya lapa. Naona lapa mmoja tu.

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.