| 255. Vision
given to Raymond Aguilera on 20 December 1992 at 3 PM.
During Communion I had a vision of a grave stone. Then the ground in front of the grave opened up. What came out was a male lion. As I watched the Lion, it changed into a white Lamb. Then the Lamb was sacrificed on an altar. Then My prayer language changed into Spanish and said, "Woman doctor, Woman doctor." Then I had a vision of a thin woman with short black hair laying down. Don't know if she was the doctor or the patient. |
255. Maono
aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 20 Desemba 1992, saa 9 mchana.
Wakati wa Komunio niliona maono ya jiwe la kaburi. Kisha ardhi mbele ya kaburi ikafunguka. Kilichotoka ndani yake alikuwa Simba dume. Nilipokuwa nikimwangalia Simba yule, akageuka kuwa Mwana Kondoo mweupe. Kisha kondoo yule akatolewa sadaka juu ya madhabahu. Kisha lugha ya maombi yangu ikageuka kuwa ya Kihispaniola na kusema "Daktari Mwanamke, Daktari Mwanamke." Kisha nikaona maono ya Mwanamke mwembamba aliye na nywele fupi nyeusi akiwa amejilaza chini. Kwa kweli sielewi kama yule mwanamke alikuwa ndiye daktari au kama alikuwa mgonjwa wake. |
e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza
hapa.
au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.
Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza
kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa
Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.
Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)
Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )