257. Vision given to Raymond Aguilera on 20 December 1992 at 7:46 PM.

I had a vision of black umbrellas. There were hundreds and hundreds of them. I believe it was at a funeral. I saw a coffin with flowers. It was underneath this canopy to keep the rain from it. I guess it's a funeral of someone very important, because there were hundreds of people there in the rain. The cemetery had mounds and sloping grounds. 

257. Maono aliyopewa Raymond Aguilera tarehe 20 Desemba 1992, saa 1:46 jioni.

Niliona maono ya Mwiavuli myeusi. Kulikuwapo miavuli mamia kwa mamia. Nadhani ilikuwa kwenye mazishi. Niliona jeneza na maua. Ilikuwa chini ya hema hii ya kuzuia mvua. Naamini ilikuwa mazishi ya mtu fulani maarufu sana, kwa sababu kulikuwa na mamia ya watu pale kwenye mvua. Eneo la makaburi hyo ilikuwa na vichguu na ardhi iliyokuwa na mteremko. 

 


e-mail:Ray@prophecy.org
Kusaidia huduma hii Bonyeza hapa.  

au andika kwa: Raymond Aguilera, S.L.B.20517, El Sobrante, CA. 94820-0517, USA.

Kuagiza vitabu vya unabii Bonyeza kwenye picha ya kitabu hapa chini

Haki ya kunakili © 1989-2001, Raymond Aguilera, Prophecy.org (sm) Haki zote zimehifadhiwa


Kurudi Kwenye Jalada la Kitabu cha Unabii.

Kurudi Kwenye Orodha ya Yaliyomo. (1-1000)

Kurudi kwenye Orodha ya Yaliyomo 2 (1000 + )

  Kwenda kwenye Unabii unaofuata.